Justin Mulenga
Mandhari
Justin Mulenga (27 Februari 1955 – 20 Machi 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Zambia.
Mulenga alizaliwa Zambia na alipewa upadirisho mwaka 1993. Alikuwa askofu wa Jimbo la Mpika, Zambia, kuanzia mwaka 2017 hadi kifo chake mwaka 2020.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |