Nenda kwa yaliyomo

Justice Mukheli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Justice Mukheli (aliyezaliwa Soweto) ni mtayarishaji wa filamu, mpiga picha na mjasiriamali mbunifu kutoka Afrika Kusini.[1][2] Anajulikana kwa kubuni kazi za sanaa au filamu zinazoangazia maisha na uzoefu wa Mwafrika.[3]


Justice alirekodi tangazo la biashara la Ballantines mwaka 2021 kuhusu kampeni yao ya Stay True: There’s No Wrong Way.[4] Justice Mukheli alionyeshwa katika toleo la 4 la maonyesho ya sanaa ya kisasa ya Also Known As Africa huko Paris mwaka 2019 kama mpiga picha.[5]


  1. "Young, Gifted & Killing It: Justice Mukheli •". MarkLives.com (kwa Kiingereza). 2020-07-27. Iliwekwa mnamo 2021-05-27.
  2. "Urban Village: Udondolo — a love song to Soweto". www.ft.com. Iliwekwa mnamo 2021-05-27.
  3. These creatives are showcasing Africa to the world - CNN Video, iliwekwa mnamo 2021-05-27
  4. "Ballantine's announces the launch of its new advert". Media Update (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-05-27.
  5. "South African photographer depicts children's emotions at Paris art fair". RFI (kwa Kiingereza). 2019-11-09. Iliwekwa mnamo 2021-05-27.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Justice Mukheli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.