Juraj Haulik
Mandhari
Juraj Haulik de Váralya (20 Aprili 1788 – 11 Mei 1869) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Kroatia mwenye asili ya Slovakia.
Alikuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Zagreb na pia aliwahi kuwa Ban wa Kroatia kwa nyakati mbili tofauti.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cardinal Juraj Haulik - Archbishop of Zagreb". Croatian Post. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Machi 2014. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |