Juraj Drašković
Mandhari
Juraj II Drašković (alizaliwa 5 Februari 1525 – 31 Januari 1587) alikuwa mtawala wa asili ya Kroatia, askofu Katoliki na kardinali, ambaye alikuwa na nguvu kubwa na ushawishi katika Ufalme wa Kroatia.
Alikuwa mwanachama wa familia ya Drašković na alichaguliwa na Sabor – Bunge la Kroatia – kuwa Ban (mwakilishi mkuu) wa Kroatia ili kusimamia nchi kati ya 1567 na 1578.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tanner, M.; Press, Y.U. (2001). Croatia: A Nation Forged in War. Yale Nota bene. Yale Nota Bene. ISBN 978-0-300-09125-0. Iliwekwa mnamo 2021-06-25.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |