11 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 11)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Juni ni siku ya 162 ya mwaka (ya 163 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 203.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1868 - Tekle Giyorgis II alitangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1864 - Richard Strauss, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1899 - Yasunari Kawabata, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1968
- 1906 - Nicolaas Louw, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1925 - William Styron, mwandishi Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1968
- 1932 - Athol Fugard, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1937 - Robin Warren, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 2005
- 1964 - Jean Garcia, muigizaji wa tamthiliya
- 1969 - Peter Dinklage, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 323 KK - Aleksander Mashuhuri, aliyeeneza dola lake kutoka Ugiriki hadi Misri na India
- 840 - Junna, mfalme mkuu wa Japani (823-833)
- 1825 - Daniel Tompkins, Kaimu Rais wa Marekani
- 2015 - Ornette Coleman, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Barnaba, Masimo wa Napoli, Rembati, Alida Mkoma, Parisi, Yohane wa Sahagun, Rosa Fransiska Molas, Paula Frassinetti n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |