Jumuiya ya ibada za nyumba kwa nyumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jumuiya ya ibada za nyumba kwa nyumba ni ibada maalumu zinazofanyika katika nyumba za Wakristo wa Kilutheri zilizoanzishwa makusudi ili kulinda uwepo wa Mungu miongoni mwa waumini. Zaidi sana ibada hizi zina lengo la kuwakumbusha na kuwakumbatia ili wasihame kanisa.

Katika kanisa hilo mtindo huu haukuwepo, umekuja miaka ya hivi karibuni, baada ya kuibuka madhehebu mengi yanayojiita kuwa makanisa ya kiroho na kuwaita waumini walio kwenye makanisa mengine badala ya kuwatafuta na kuwahubiria watu ambao bado hawaijui dini ni nini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christianity Symbol.png Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jumuiya ya ibada za nyumba kwa nyumba kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.