Jumuiya ya Watu Wenye Ualbino Tanzania
Mandhari
Jumuiya ya Watu Wenye Ualbino Tanzania (TAS) ni NGO ya kitaifa iliyoanzishwa mnamo mwaka 1978 na watu wenye ualbino ili kushughulikia changamoto za kiafya za ngozi kama Kansa ya ngozi na changamoto nyingine kama za kijamii na kiuchumi.[1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.netzkraft.net/profil.php?teilnehmer=3366&lg=en#:~:text=Tanzania%20Albino%20Society%20%28TAS%29%20is%20a%20national%20non-profit,skin%20cancer%20and%20other%20social%20and%20economic%20challenges.
- ↑ https://dtpev.de/en/magazine/article/the-fight-against-discrimination-of-people-with-albinism-an-example
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |