Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

From Wikipedia
Jump to navigation Jump to search
Logo ya JUMUWATA.

Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania (Jumuwata) ni chama cha wanablogu wa Tanzania. Chama hiki kinaongozwa na Ramadhani Msangi (Mwenyekiti), Simon Kitururu (Katibu) na Da Mija (Mweka Hazina). Nia ya Jumuwata ni kusaidia Watanzania kuweza kufaidika na mabadiliko ya teknolojia kama vile blogu, podikasti, n.k.

Viungo vya nje[edit | edit source]