Julio Rosales
Mandhari
Julio Rosales y Ras (18 Septemba 1906 – 2 Juni 1983), Askofu Mkuu wa pili wa Cebu, alikuwa kardinali wa Ufilipino katika Kanisa Katoliki.
Alizaliwa Calbayog, alisomea katika Seminari ya Calbayog na akapadrishwa katika mji wake wa kuzaliwa mnamo Juni 2, 1929. Kuanzia 1929 hadi 1946, alihudumu katika kazi za kichungaji katika jimbo la Calbayog. Alitawazwa kuwa askofu wa Tagbilaran mnamo Septemba 21, 1946.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |