Nenda kwa yaliyomo

Julio Olarticoechea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Julio Olarticoechea

Amezaliwa 18 Oktoba 1958 (1958-10-18) (umri 68)
Saladillo, Buenos Aires, Argentina
Nchi Argentina
Urefu 1.70 m

Julio Jorge Olarticoechea (alizaliwa 18 Oktoba 1958) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Argentina aliyecheza nafasi ya beki.[1] Katika kiwango cha kimataifa, aliiwakilisha timu ya taifa ya Argentina katika mashindano ya Kombe la Dunia ya mwaka 1986 na 1990, akitwaa ubingwa wa mashindano hayo katika msimu wa mwaka 1986.[2] Olarticoechea na Diego Maradona walikuwa wanakaa chumba kimoja huko Meksiko wakati wa Kombe la Dunia la mwaka 1986.

  1. ↑ "Julio Olarticoechea - Profile" (kwa English). BDFutbol. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2026.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. ↑ "1986 FIFA World Cup Mexico" (kwa English). FIFA. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2026.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julio Olarticoechea kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.