Nenda kwa yaliyomo

Juliette Nana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juliette Nebnoma Nana (aliyezaliwa tarehe 16 Agosti 2000) ni mchezaji wa soka wa wanawake kutoka Burkina Faso anayekipiga katika nafasi ya kiungo wa kati. Anachezea klabu ya Fatih Vatan inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uturuki pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Burkina Faso.

Nana alianza kucheza soka akiwa mdogo, akicheza na wavulana katika mtaa wake akiwa na umri wa takribani miaka saba au minane.

Amechezea pia klabu ya ZhFK Neman Grodno nchini Belarus.[1] [2]


  1. "Burkina Faso : Juliette Nana élue meilleure sportive féminine de l'année 2021". Africa Foot United (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Julai 2022. Iliwekwa mnamo 2 Julai 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "СМИ о нас: Интервью Джульетты Нана". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-30. Iliwekwa mnamo 2026-01-26.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juliette Nana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.