Nenda kwa yaliyomo

Juliet Acheampong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juliet Acheampong (alizaliwa 11 Julai, 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kitaalamu kutoka nchini Ghana anayekipiga kama kiungo wa kati katika timu ya taifa ya wanawake ya Ghana (Black Queens) pamoja na klabu ya Prisons Ladies.

Acheampong aliungana na klabu ya Ånge IF kwa msimu wa mwaka 2016. Aliwakilisha timu hiyo katika mechi 12 katika Ligi ya Daraja la 2.[1][2]

  1. "Ghana - J. Acheampong - Profile with news, career statistics and history - Soccerway" (kwa Kiingereza). Soccerway. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Juni 2023. Iliwekwa mnamo 20 Machi 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Black Queens' Juliet Acheampong undergoes successful operation". Ghana Football Association.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juliet Acheampong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.