Julien Andavo Mbia
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Julien Andavo Mbia (Liago, Mkoa wa Uele Juu, 5 Septemba 1950 - Durba, 14 Julai 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Katoliki la Isiro-Niangara katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Alisomea Teolojia huko Kinshasa na Fribourg.
Tarehe 1 Februari 2003, aliteuliwa kuwa askofu wa Isiro-Niangara na Papa Yohane Paulo II.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |