Nenda kwa yaliyomo

Julie Newmar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Julie Newmar (alizaliwa kwa jina Julia Chalene Newmeyer; 16 Agosti, 1933) ni mwigizaji, mcheza dansi na mwimbaji wa Marekani anayejulikana kwa nafasi mbalimbali katika jukwaa, filamu na televisheni.[1][2]

  1. ↑ Brode, Douglas (2016). Deadlier Than the Male: Femme Fatales in 1960s and 1970s Cinema. BearManor Media. Iliwekwa mnamo Machi 1, 2022.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Blum, Daniel C. (2006). Screen World. Crown Publishers. uk. 369. Iliwekwa mnamo Machi 1, 2022.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julie Newmar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.