Juliana Amato Lumumba
Mandhari
Juliana Amato Lumumba (alizaliwa mwezi Agosti 1955) ni mwanasiasa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na binti wa aliyekuwa Waziri Mkuu na mzalendo mashuhuri Patrice Lumumba [1],[2] . Alishika nyadhifa za uwaziri mara kadhaa chini ya urais wa Laurent-Désiré Kabila, hasa mwaka 1997 ule wa Makamu wa Waziri wa Habari na Vyombo vya Habari, kuanzia 1997 hadi 1998 ule wa Waziri wa Elimu na tena 2001 ule wa Waziri wa Utamaduni na Sanaa [3] .
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Flandre, Flandreinfo be-L'Actu de (2018-11-28). "Juliana Lumumba : "Nous avons le droit de connaître la vérité sur l'assassinat de mon père"" (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-04-05.
- ↑ "Reportage Afrique - RDC/Sur les traces de Patrice Lumumba: Juliana Lumumba, un destin extraordinaire (1/5)" (kwa Kifaransa). 2021-01-10. Iliwekwa mnamo 2021-04-05.
- ↑ "Femmes dirigeantes politiques - REPERTOIRE FEMMES ACTIVES de la RDC". Iliwekwa mnamo 2021-04-06.