Julia Rosa Clark

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Julia Rosa mwaka 2015
Julia_Rosa_Clark
Amezaliwa 1975
cape Town
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Majina mengine Julia Rosa
Kazi yake muelimishaji

Julia Rosa Clark (alizaliwa Cape Town, 1975) ni msanii na muelimishaji wa Afrika Kusini [1] Anajulikana zaidi kwa aina yake ya sanaa za rangi za picha ya makaratasi[2]

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Clark ni mhitimu wa shahada ya Sanaa ya Urembo katika chuo kikuu cha University of Cape Town mwaka 2004.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Keylock, Miles. "What do we know?", 12 February 2010. 
  2. O'Toole, Sean (September 2011). "Cape Town with Julia Rosa Clark". Art Review. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-17. Iliwekwa mnamo 9 April 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julia Rosa Clark kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.