Julia Koch
Mandhari
Julia Margaret Flesher Koch (Alizaliwa Aprili 12, 1962) ni mwanaharakati wa kijamii na mfadhili bilionea nchini Marekani, moja ya wanawake tajiri zaidi duniani.[1] Kufikia Mei 2025, utajiri wake ulikuwa zaidi ya dola bilioni 74.2.[2] Alirithi utajiri huo kutoka kwa mumewe David Koch, aliyefariki mwaka 2019.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Julia Koch". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
- ↑ "Julia Koch". Bloomberg. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
- ↑ "Julia Koch". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Julia Koch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |