Judy Chicago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya msanii wa kike wa Kimarekani, mwalimu wa sanaa na mwandishi Judy Chicago

Judy Chicago (jina la kuzaliwa Judith Sylvia Cohen ; 20 Julai 1939) ni msanii, mwanaharakati,, mwalimu wa sanaa, [1] na mwandishi wa nchini Marekani. Anajulikana kwa usanifu wake wa sanaa kuhusu utengenezaji na uumbaji picha, ambazo hutafsiri nafasi ya wanawake katika historia na utamaduni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Chicago, Judy. (2014). Institutional Time. The Monacelli Press.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judy Chicago kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.