Nenda kwa yaliyomo

Judith Tondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Judith Tondo Lungemba (anajulikana kama Judith Tondo, alizaliwa Juni 20, 1988) ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.[1] anayecheza kama kiungo mshambuliaji.

Taaluma ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Judith Tondo alichaguliwa pamoja na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika ngazi ya juu wakati wa Mashindano ya Kandanda ya Wanawake wa Afrika kwenyi mwaka ya 2012[2].

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judith Tondo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.