Nenda kwa yaliyomo

Judith Kerr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Judith Kerr

Kerr katika Tamasha la Fasihi Berlin, 2016
Amezaliwa (1923-06-14)14 Juni 1923
Berlin, Ujerumani
Nchi
  • Ujerumani (1923–1941)
  • Hakuwa na uraia (1941–1947)
  • Uingereza (1947–2019)
Kipindi 1950–2019
Watoto 2 (akiwemo Matthew Kneale)
Mahusiano Michael Kerr (kaka)
Wazazi
  • Alfred Kerr (baba)
  • Julia Weismann (mama)

Anna Judith Gertrud Helene Kerr[1] (14 Juni 1923 – 22 Mei 2019)[2] alikuwa mwandishi na mchoraji wa vitabu, Mwingereza aliyezaliwa nchini Ujerumani, ambaye vitabu vyake viliuza nakala zaidi ya milioni 10 kote ulimwenguni.[3] Alitengeneza vitabu vya picha vilivyopendwa sana kama vile mfululizo wa vitabu vya "Mog" na "The Tiger Who Came to Tea", pamoja na riwaya maarufu kwa ajili ya watoto na wakubwa kama vile nusu-wasifu wa "When Hitler Stole Pink Rabbit". Kitabu hicho kilionesha mtazamo wa mtoto jinsi ya kukimbia mateso ya Hitler wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Alizaliwa katika Jamhuri ya Weimar, na alihamia Uingereza na familia yake mnamo mwaka 1935 ili kukimbia mateso wakati wa kupaa kwa Chama cha Nazi.[4][5][6]

  1. As Far As I Remember (tol. la paperback). Hart Publishing. 2002. uk. 23. ISBN 1-84113-565-8.
  2. Armitstead, Claire (23 Mei 2019). "Judith Kerr, beloved author of The Tiger Who Came to Tea, dies aged 95". The Guardian. Iliwekwa mnamo 23 Mei 2019. Judith Kerr ... died at home yesterday at the age of 95 after a short illness, her publisher said on Thursday.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Obituary: Judith Kerr died on May 23rd," The Economist, 6 June 2019.
  4. Philpot, Robert. "After fleeing Nazi Germany, Judith Kerr became Britain's favorite storyteller". The Times of Israel. ISSN 0040-7909.
  5. "Artists After the Escape: Judith Kerr, children's book author at 95 | DW | 13.06.2018". DW.COM.
  6. "Judith Kerr OBE | Traces Project". www.tracesproject.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-24. Iliwekwa mnamo 2026-06-14.
Makala hii kuhusu wakimbizi au masuala ya ukimbizi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judith Kerr kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judith Kerr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.