Judes Bicaba
Mandhari
Judes Bicaba (1947 – 19 Agosti 2016) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Burkina Faso.
Bicaba alipadrishwa mwaka 1975. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Dédougou, Burkina Faso, kuanzia mwaka 2005 hadi alipofariki dunia mwaka 2016.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |