Juan Jesús Vivas
Mandhari

Juan Jesús Vivas Lara (alizaliwa 27 Februari 1953) ni mwanasiasa wa Uhispania ambaye ni Meya-Rais wa sasa wa jiji la Ceuta, tangu tarehe 8 Februari 2001.[1] Pia ni mwanachama wa People's part (PP).
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Juan Jesus Vivas alizaliwa Ceuta mwaka wa 1953, [2] Juan Jesus Vivas alipata shahada ya Sayansi ya Uchumi kutoka Chuo kikuu Malaga. [3] Alikuwa mjumbe wa Bunge la Ceuta mwaka wa 1999 na aliteuliwa kama Meya-Rais wa jiji hilo mwaka wa 2001,baada ya azimio la kutokuwa na imani lililofanikiwa dhidi ya Meya-Rais wa GIL, Antonio Sampietro . [2][4]
Vivas alipatikana na COVID-19 mnamo tarehe 10 Januari 2022.[5]
Marejeleo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Juan Jesús Vivas Lara - Juan Jesús Vivas Lara". ELPAÍS.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Juni 2012. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2010.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 "Juan Jesús Vivas no se presentará a otras elecciones tras 20 años de mandato". EFE. 17 Aprili 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Candidatos. Ceuta". El Mundo. 2007. Iliwekwa mnamo 10 Septemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Juan Jesús Vivas Lara. Presidente de la Ciudad Autónoma de Ceuta". Nueva Economía. Iliwekwa mnamo 10 Septemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ El presidente de Ceuta, confinado tras su positivo en covid (in Spanish)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juan Jesús Vivas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |