Nenda kwa yaliyomo

Juan Guevara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juan Gualberto Guevara B.A. J.C.D. (12 Julai 188227 Novemba 1954) aliteuliwa kuwa Kardinali Kuhani na Papa Pius XII mnamo Februari 18, 1946. Alikuwa Askofu Mkuu wa Lima katika Kanisa Katoliki na alikuwa Kardinali wa kwanza wa Peru.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.