Nenda kwa yaliyomo

Juan Cruz González

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juan Cruz González (alizaliwa 2 Desemba 1996) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya beki wa kulia, na kwa sasa anachezea klabu ya Chacarita Juniors.[1]

  1. "Juan González profile". Soccerway. 10 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 10 Januari 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juan Cruz González kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.