Juan Carvajal (kardinali)
Mandhari
Juan Carvajal (Carvagial; karibu 1400 huko Trujillo, Cáceres – 6 Desemba 1469, huko Roma) alikuwa Kardinali wa Uhispania.
Ingawa alianza kazi yake kama mwanasheria na hakimu katika utawala wa kipapa, alitumia sehemu kubwa ya maisha yake ya kazi kusafiri kama mwanadiplomasia nchini Ujerumani na Ulaya ya Mashariki, akijaribu kupanga vita vya msalaba dhidi ya Waarabu wa Ottoman. Alikuwa hasa na shughuli nyingi huko Bohemia na Hungaria, ambako pia alitumia mamlaka yake kupambana na Wahussite. Alikuwa nguzo kuu katika kujaribu kuhifadhi taasisi ya Upapa dhidi ya Uconcilia wa Baraza la Basel.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Emmanuele Cerchiari (1920). Capellani papae et apostolicae sedis auditores causarum sacri palatii apostolici seu sacra Romana Rota ab origine ad diem usque 20 septembris 1870: Syntaxis Capellanorum auditorum (kwa Latin). Vatican: typis polyglottis Vaticanis. ku. 52, no. 285.
{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |