Nenda kwa yaliyomo

Jozef Tomko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jozef Tomko (11 Machi 19248 Agosti 2022) alikuwa askofu wa Slovakia katika Kanisa Katoliki ambaye alihudumu katika ofisi mbalimbali za Kuria ya Roma kuanzia mwaka 1962 hadi alipostaafu mwaka 2007.

Alikuwa mkuu wa Kongregesheni ya Uenezi wa Mataifa kutoka mwaka 1985 hadi 2001 na rais wa Kamati ya Kipapa ya Mikutano ya Kimataifa ya Ekaristi kutoka mwaka 2001 hadi 2007. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1985.[1]

  1. "Consistoro Unico" (kwa Kiitaliano). Libreria Editrice Vaticana. 25 Mei 2021. Iliwekwa mnamo 14 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.