Nenda kwa yaliyomo

Jozef Jarabinský

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jozef Jarabinský (aliyezaliwa 12 Machi 1944) ni mchezaji wa zamani wa soka na kocha kutoka Chekoslovakia.

Alicheza kwa Slovan Bratislava, Bohemians, Dukla Prague na Sparta Prague.

Kama kocha wa soka, alifundisha Vagónka Poprad, Tatran Prešov, Sparta Prague, Slavia Prague (1992–93), Baník Ostrava (2001–02, 2004–05), Real Betis, Gençlerbirliği S.K. (19901991), Ankaragücü, Antalyaspor, Samsunspor, Izmir, Aris Thessaloniki F.C. na Tianjin Teda F.C. (2008).

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jozef Jarabinský kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.