Nenda kwa yaliyomo

Josko Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Josko Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Ried im Innkreis nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya SV Ried na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,680.[1]

  1. "josko ARENA –". Stadiumdb.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-22.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Josko Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.