Josiah Mason
Mandhari
| Josiah Mason | |
Picha ya Mason 1870 | |
| Amezaliwa | 23 Februari 1795 Mill Street, Kidderminster, England |
|---|---|
| Amekufa | 16 Juni 1881
(Akiwa na miaka 86) |
| Nchi | England |
| Kazi yake | Mfanyabiashara ya Viwanda |
Josiah Mason (23 Februari 1795 – 16 Juni 1881) alikuwa mfanyabiashara wa viwanda wa nchini Uingereza, alijihusisha na uzalishaji wa kalamu na biashara nyingine na mfadhili. Alianzisha chuo cha Sayansi cha Mason mwaka 1875 ambacho baadaye kiliitwa Chuo Kikuu cha Birmingham.[1]