Nenda kwa yaliyomo

Joseph Walsh (askofu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Walsh (1888–1972) alikuwa mchungaji wa Kanisa Katoliki kutoka Eire.

Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Tuam kuanzia mwaka 1940 hadi 1969.[1]

  1. Fryde et al. 1986, Handbook of British Chronology, p. 444.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.