Nenda kwa yaliyomo

Joseph W. Estabrook

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Walter Estabrook (19 Mei 1944, Kingston, New York4 Februari 2012, Houston, Texas) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Huduma za Kijeshi na pia kama Askofu wa jimbojina la Flenucleta.[1]

  1. "Bishop Joseph W. Estabrook: Episcopal Vicar for the East Coast". Milarch.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-15. Iliwekwa mnamo 2012-02-04.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.