Joseph S. Nelson
Mandhari
Joseph (Joe) Schieser Nelson (Aprili 12, 1937 – Agosti 9, 2011) alikuwa mtaalamu wa samaki (ichthyologist) nchini Kanada. Alijulikana zaidi kwa kitabu Fishes of the World (toleo lake la kwanza 1976, toleo la nne 2006), ambalo ni marejeo ya kawaida katika sistematiki ya samaki na mabadiliko yake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lana Cuthbertson (Agosti 15, 2011). "Joseph Nelson Taught the World about Fish". University of Alberta Museums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2012.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph S. Nelson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |