Nenda kwa yaliyomo

Joseph Nafaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Nafaa (alizaliwa 14 Machi 1969, katika Andket, karibu na Tripoli, Lebanon) ni kiongozi wa Kanisa la Wamaroni na Askofu wa Curia ya Patriarkia ya Antiokia.[1]

  1. "Elezione di Vescovo di Curia di Antiochia dei Maroniti". Tägliches Bulletin (kwa Kiitaliano). Holy See Press Office. 2016-06-17. Iliwekwa mnamo 2016-06-17.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.