Nenda kwa yaliyomo

Joseph Mukwaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Mukwaya (26 Septemba 19305 Septemba 2008) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Uganda aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Kiyinda-Mityana kuanzia 21 Juni 1988 hadi alipojiuzulu kwa sababu za kiafya mnamo 23 Oktoba 2004. Alifariki dunia mnamo 5 Septemba 2008, wiki tatu kabla ya kutimiza miaka 78, akiwa Askofu Mstaafu wa Jimbo la Kiyinda-Mityana, Uganda.[1]

  1. David M. Cheney (18 Novemba 2020). "MicroData Summary for Joseph Anthony Zziwa". Kansas City, United States: Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 4 Aprili 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.