Joseph Mairura Okemwa
Mandhari
Joseph Mairura Okemwa (alizaliwa 29 Juni 1954) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya, ambaye ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Kisii. Aliteuliwa kuwa askofu na Papa Yohane Paulo II tarehe 19 Desemba 1994.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ David M. Cheney (25 Februari 2024). "MicroData Summary for Bishop Joseph Mairura Okemwa (born 29 June 1954), Bishop of Kisii". Catholic-Hierarchy.org. Kansas City. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |