Nenda kwa yaliyomo

Joseph Kossivi Ahiator

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Kossivi Ahiator (alizaliwa 1956) ni mwanasiasa Mwafrika na msanii wa Ghana alijulikana kwa michoro yake ya ukutani ya hekalu huko Bénin, Ghana, na Togo. [1] Yeye alikuwa mwanachama wa National Democratic Congress (NDC) na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Ketu Kusini katika Mkoa wa Volta nchini Ghana.[onesha uthibitisho]

  1. ↑ Unpacking the New: Critical Perspectives on Cultural Syncretization in Africa and Beyond. LIT Verlag Münster. 2008. uk. 212. ISBN 978-3-8258-0719-1.