Joseph Hergenröther
Mandhari

Joseph Hergenröther (15 Septemba 1824 – 3 Oktoba 1890) alikuwa mwanahistoria wa Kanisa na mtaalamu wa sheria za Kanisa kutoka Ujerumani.
Alikuwa Kardinali wa kwanza kushika wadhifa wa Mkuu wa Hifadhi ya Kumbukumbu za Vatikani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: Joseph Hergenrother". www.newadvent.org. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |