Joseph H. Albers
Mandhari
Joseph H. Albers D.D. (18 Machi 1891 – 1 Desemba 1965) alikuwa askofu wa Kasika Katoliki wa Marekani.
Alikuwa askofu wa jimbojina la Lunda, baada ya kuteuliwa na Papa Pius XI mwaka 1929. Alitumikia kama askofu msaidizi wa Jimbo kuu la Cincinnati, Ohio, kutoka 1929 hadi 1937. Albers alikuwa askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Lansing huko Michigan kutoka 1937 hadi kifo chake mwaka 1964.
Aliteuliwa kuwa Msaidizi wa kiti cha Papa mwaka 1954.
Albers alipokea Silver Star kwa huduma yake kama padri wa jeshi la Marekani nchini Ufaransa wakati wa Vita Vikuu vya Kwanza.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Photo of Most Reverend Joseph H. Albers, D.D." Good Samaritan School of Nursing, The Victorian. Cincinnati, Ohio: U.S. GenWeb project. 1930. Iliwekwa mnamo Septemba 16, 2012.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |