Joseph Finnemore
Mandhari
Joseph Finnemore (1860 – 1939) alikuwa mchoraji picha katika vitabu na magazeti ambaye pia alifanya kazi kwa Religious Tract Society. Pia alikuwa mchoraji kwa rangi ya mafuta. Alijulikana kwa vielelezo vyake vya hadithi za kihistoria na usafiri.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Joseph Finnemore, 1860-1939". The Correspondence of James McNeill Whistler. University of Glasgow.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph Finnemore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |