Joseph Edward Troy
Mandhari
Joseph Edward Troy (3 Septemba 1931 – 12 Machi 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Kanada. Alikuwa askofu msaidizi wa Saint John, New Brunswick kuanzia mwaka 1984 hadi 1986, kisha akawa askofu wa jimbo hilo kuanzia mwaka 1986 hadi 1997.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |