Nenda kwa yaliyomo

Joseph Cordeiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Marie Anthony Cordeiro (19 Januari 191811 Februari 1994) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki ambaye mnamo mwaka 1973 alikua kardinali wa kwanza kutoka Pakistan.[1]

  1. "Pakistan's Goa Connections". The Times of India. 3 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 28 Aprili 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.