Nenda kwa yaliyomo

Joseph Chila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Chila ni msanii na mpiga picha kutoka Kamerun kutoka Mbouda katika Mkoa wa Magharibi wa Kamerun. Kwa muda mwingi wa maisha yake ya kazi alikuwa akiishi Mayo-Darlé katika Mkoa wa Adamawa.[1]

  1. Swenson, Ingrid (2005). Joseph Chila and Samuel Finlak: Two Portrait Photographers in Cameroon. London: Peer. ISBN 9780953977260.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Chila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.