Joseph Chennoth
Mandhari
Joseph Chennoth (13 Oktoba 1943 – 8 Septemba 2020) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki la Syro-Malabar aliyefanya kazi katika huduma ya kidiplomasia ya Ukulu mtakatifu. Aliteuliwa kuwa askofu mkuu na balozi wa kitume (Apostolic Nuncio) mwaka 1999.
Alipadrishwa kuwa kasisi tarehe 4 Mei 1969 na Askofu Paul Ch'eng Shih-kuang wa Tainan, Taiwan.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "マーチフォーライフ on Facebook". Facebook. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-27.[user-generated source]
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |