Joseph Cardijn
Mandhari
Joseph Leo Cardijn (13 Novemba 1882 – 24 Julai 1967) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Ubelgiji na mwanzilishi wa harakati ya Wafanyakazi Wakristo Vijana (Jeunesse ouvrière chrétienne, JOC).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Omnes (2018-10-15). "Paul VI, from the Second Vatican Council to dialogue with the world". Omnes (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-07-08.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |