Nenda kwa yaliyomo

Joseph Bismuth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Roger Bismuth (4 Novemba 1926 – 1 Oktoba 2019)[1] alikuwa mfanyabiashara na seneta wa Tunisia.[1]

Alichaguliwa katika Baraza la Washauri (Chamber of Advisors), chombo kipya cha juu cha bunge, mwezi Julai 2005, na alikuwa mbunge pekee Myahudi aliyechaguliwa katika ulimwengu wa Kiarabu.

Seneta Bismuth pia alikuwa mwanachama wa International Council of Jewish Parliamentarians.

  1. Yusra NY (2019-10-01). "Décès de Roger Bismuth, homme d'affaires et ancien président du comité des juifs de Tunisie". Kapitalis (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2026-05-15.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Bismuth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.