Joseph Akichi
Mandhari
Joseph Akichi (alizaliwa 1933 huko Memni) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ivory Coast na askofu wa Jimbo Katoliki la Grand-Bassam.
Alipata daraja ya upadri mwaka 1963 na aliteuliwa kuwa askofu mwaka 1982. Alifariki dunia mwaka 1993.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |