Josef Čapek
Mandhari
Josef Čapek (Matamshi ya Kicheki: [Alizaliwa 23 Machi 1887 -Alifarki Aprili 1945[1]) alikuwa msanii wa Ucheki ambaye alijulikana zaidi kama mchoraji, lakini pia alijulikana kama mwandishi na mshairi. Alibuni neno "roboti", ambalo liliingizwa katika fasihi na kaka yake, Karel Čapek.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Věra Menclová; Václav Vaněk, whr. (2005). Slovník českých spisovatelů (kwa Kicheki). Prague: Libri. ku. 111–113. ISBN 80-7277-179-5.