Nenda kwa yaliyomo

José Mari Bakero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

José María Bakero Escudero (amezaliwa 11 Februari, 1963) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Hispania, ambaye kwa sasa ni kocha.

Alicheza zaidi katika klabu za Real Sociedad na FC Barcelona.[1][2]

  1. "José Mari Bakero" (kwa Kihispania). FC Barcelona. Iliwekwa mnamo 8 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Vázquez de Balmaseda, Ignacio (29 Machi 2016). "Leyendas de la Real: José Mari Bakero" [Real legends: José Mari Bakero] (kwa Kihispania). Vavel. Iliwekwa mnamo 15 Mei 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Mari Bakero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.