Nenda kwa yaliyomo

José Luis Lacunza Maestrojuán

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

José Luis Lacunza Maestrojuán, O.A.R. (alizaliwa 24 Februari 1944) ni mtawa wa Hispania mwenye uraia wa Panama kutoka Shirika la Waagustino Waliotulia (Order of Augustinian Recollects) na kiongozi wa Kanisa Katoliki. Alikuwa Askofu wa Jimbo la David kuanzia mwaka 1999 hadi 2024.

Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali mwaka 2015.[1]

  1. "Mons. José Luis Lacunza Maestrojuan, o.a.r." Conferencia Episcopal Panameña. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 17, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)(in Spanish)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.