Nenda kwa yaliyomo

José Lebrún Moratinos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

José Alí Lebrún Moratinos (19 Machi 191921 Februari 2001) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Caracas. Mbali na lugha yake ya asili ya Kihispania, alizungumza Kiitalia, Kilatini, na Kifaransa.[1][2]

  1. 2001 Hagiography Circle
  2. Fabiana Ortega (31 Mei 2021). "José Alí Lebrún: the first Venezuelan cardinal who could advance to the altars". Iliwekwa mnamo 18 Mei 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.